Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta will even sacrifice his skipper but not Kai.
Tuliwaambieni Kwanza Arteta sio kocha wa makombe mkawa wabishi, pili tuliwaambieni hamuwezi kuchukua ubingwa kwa kuwategemea average players Kama Kai,jorginho,martinelli,Sterling n.k tatu tukawaambia sisi tutachukua ubingwa kabla yenu sisi akitoka Nico Jackson anaingia Nkuku, akitoka Palmer anaingia Joao felix, akitoka Neto anaingia Madueke, akitoka Sancho anaingia Mudryk umeona utofauti wetu na nyie alafu katikati tuna viungo wa dunia wenye sifa zinazotofautiana Enzo mzee wa pass, Caicedo destroyer, Romeo Lavia controller
 
Ubingwa msimu huu wachukue Rent boys (chelkenge) kuliko ninyi arse8.
Hawa Liverkuku nao sioni cha maana wanachofanya uwanjani zaidi ya zali za mechi za awali tu.
Hata vijana wa Amorin wakijipata mapema, bado ni title contenders pia.

Yote kwa yote, tuombe train la Pep (city) lisichanganye wengine tukiwa bado hatujajipata.
 
Arsenal ni mabahili kutoa hela kusajili ni kwa mbinde boss wenu ana mkono wa birika mgumu kama chuma cha reli.
 
Ila AseNYETO mnatia huruma sana, yaani misimu mitatu mfululizo mmekuwa na kiwango kizuri na mmeshindwa kuchukua ubingwa kweli.!
Arsenal kitu wanaweza chukua au kushinda msimu huu ni kuiombea Chelsea afungwe.


Narudi tena na niliwahi kusema humu kuwa pamoja na arsenal kuwa kwenye form lakini Chelsea anaweza fufuka na kuchukua ubingwa kabla ya arsenal.
 
But then again unachojisikia sasa hivi hizo ni standards. 4 seasons back ukipata suluhu unaona sawa na mashabiki wa timu zingine wanaona sawa.

Two seasons back mpaka sasa suluhu unaona siyo hadhi yako na mashabiki wa timu zingine wanaamini hamstahili kupata suluhu kwakua mna standards za juu.

Kesho city au nyumbu yeyote anaweza kufungwa na hakuna atakayeshangaa. Mechi ikiwa suluhu wote watajipongeza.

Those are standards
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani mpaka hivi sasa mna draws 6 halafu mnaendelea kudanganyana kua eti mashabiki wa timu zingine wanaamini hamstahili kupata suluhu kwakua mna standards za juu?
Kamdomo kenu ndiko kanakosababisha kila mtu afurahi mnapo poteza points3, acheni kudanganyana humu na kupeana false hope kua eti mko na standards za juu wakati kila msimu nyie mnaishia kua wapenzi wasindikizaji.
Standards zinaendana na wingi wa makombe kabatini, nyie mna standards za kamdomo peke yake[emoji23][emoji23][emoji23]



#Kamdomo Fc
470943363.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani mpaka hivi sasa mna draws 6 halafu mnaendelea kudanganyana kua eti mashabiki wa timu zingine wanaamini hamstahili kupata suluhu kwakua mna standards za juu?
Kamdomo kenu ndiko kanakosababisha kila mtu afurahi mnapo poteza points3, acheni kudanganyana humu na kupeana false hope kua eti mko na standards za juu wakati kila msimu nyie mnaishia kua wapenzi wasindikizaji.
Standards zinaendana na wingi wa makombe kabatini, nyie mna standards za kamdomo tu peke yake[emoji23][emoji23][emoji23]



#Kamdomo FcView attachment 3176925
Huna haja ya kujichekesha, vision ya arsenal na ya timu yako ni vitu viwili tofauti. Utajichekesha ila huo ndiyo ukweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom