Huna haja ya kujichekesha, vision ya arsenal na ya timu yako ni vitu viwili tofauti. Utajichekesha ila huo ndiyo ukweli.Yaani mpaka hivi sasa mna draws 6 halafu mnaendelea kudanganyana kua eti mashabiki wa timu zingine wanaamini hamstahili kupata suluhu kwakua mna standards za juu?
Kamdomo kenu ndiko kanakosababisha kila mtu afurahi mnapo poteza points3, acheni kudanganyana humu na kupeana false hope kua eti mko na standards za juu wakati kila msimu nyie mnaishia kua wapenzi wasindikizaji.
Standards zinaendana na wingi wa makombe kabatini, nyie mna standards za kamdomo tu peke yake
#Kamdomo FcView attachment 3176925

