Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nawakumbusha tena kile nilichosema hapa.

Nilisema ivi: Chelsea huyu mnaemcheka ataamka usingizini na kuchukua ubingwa kabla yenu ambao kila msimu mpo kwenye form na mnapigania title Contender....sasa ivi mmebaki kuchawia chelsea kila anapocheza.


SWali dogo tu. Je Chelaea ndiyo imewazuia msibebe ubingwa Misimu yote mitatu ambayo mpo on fire?
 
Kumbe dogo anapiga nyeto
 
Palmer anawekwa benchi na Saka timu ya taifa
Unaongelea timu ya taifa gani? huyo saka baada ya kuanza kula mbao ndio timu ikaanza kushinda, sijui kama atakaa aanzishwe tena. Wameona anawacheleweshea mafanikio. Na nyie jiongezeni tafteni wachezaji wa kueleweka. Saka Martinel Ode. watawachomesha kila mwaka mnaoneka wehu.
 
We bwana usitake kujifanya chizi.

Kama hata hujui timu ya taifa ya Cole na Saka hapa nikikujibu si utaona nakuonea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…