BONNIE GOLD
JF-Expert Member
- Jan 27, 2021
- 485
- 960
Duuh. Wahuni mawazo ya ubingwa Bado mnayo. Haya tufanye leo mmeshinda basi, nendeni mkapewe kombeTusiposhinda leo tusahau ubingwa.
Duuh. Wahuni mawazo ya ubingwa Bado mnayo. Haya tufanye leo mmeshinda basi, nendeni mkapewe kombeTusiposhinda leo tusahau ubingwa.
Huyu kenge, katika viumbe wana bahati nae yumo.Namna tunacheza inamrahisishia kuscore. Tunatengeneza chances nyingi kiasi kwamba atamess up nne atapata moja na timu inashinda watu wanasahau makosa manne.
Tumepata konaVip wakuu hamjapata kona leo?
Tuliwaambia Kai tumewapiga but mlikuwa wabishiSame ball ambao Jimenez kapokea kafunga Kai kaanguka
Raul jimenez ni mzuri zaidi ya kai, anajielewa sanaSame ball ambao Jimenez kapokea kafunga Kai kaanguka
Mi sijawahi kukubishia 😅Tuliwaambia Kai tumewapiga but mlikuwa wabishi
Hata mimi najiuliza kulikoni kuhusu TierneyMara nyingi sana nimejaribu kumuelewa Jorginho lakini huwa nashindwa.. Kila mara anapoanza katikati huwa tunakosa balance na flow nzuri ya mchezo... Kuna vitu vingine Arteta huwa analazimisha tu lakini havina tija kwenye mchezo.. Ni kwanini Kieran Tierney asianze left back then Thomas Partey akaenda katikati.. Una left back wa asili unamuacha nje then unachezesha wachezaji out of position.
Hii ni takatakaSame ball ambao Jimenez kapokea kafunga Kai kaanguka
AiseeHii ni takataka