Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Screenshot_2024-12-06-16-08-55-934_com.instagram.barcelona-edit.jpg
 
Nyumbu sidhani kama Leo wataamka
Walidhani Arsenal ni Aston Villa😄
Nyumbu nitakufunga mara 20 mfululizo bila hata kupata sare
Hii mara ya 4 naanza kuhuesabu mdogo mdogo
Nasema hivi
Tukutane FA huko nitakufunga na kikosi B
Nwaneri hat trick

We'll be there
20240930_202741.jpg
 
Maisha bwana

Mijusi ipo hoi

Wazee wa kustay humble wapo hoi

Nyumbu limejikojolea chini ya Hakika Ruben

Kuna pimbi mmoja jina lake limenitoka alisema kahama Arsenal kaenda kwa mijusi eti wana vision kuliko Arsenal anayemkumbuka amtag hapa
 
@Ngongo unaitwa huku
 
Partey-2 years extension
Jorginho-leave as free agent
Jesus-sell...Buy Isak
Zinchenko and tierney-sell...buy another LB to cover Calafiori
Halafu kuna kitu kwny nafsi yangu kinanambia tunahitaji huduma ya Rashford ule upande wa kushoto asaidiane na Trossard.... Martinelli ahamie upande wa Saka

Manunu wafanye kujikuna kama Chelsea watupe yule kijana tuwaoneshe namna ya kumtumia🤠🤠
 
Wakijifanya wabishi kama nyie tutawadunda kwa hat trick ya Kona....tunahitaji sana point tatu kuliko kucheza mpira mzuri...tupo nje ya mda majirani 🤠🤠🤠
Mumpate mbuyu twitte ataongeza kitu pale
 
Partey-2 years extension
Jorginho-leave as free agent
Jesus-sell...Buy Isak
Zinchenko and tierney-sell...buy another LB to cover Calafiori
Halafu kuna kitu kwny nafsi yangu kinanambia tunahitaji huduma ya Rashford ule upande wa kushoto asaidiane na Trossard.... Martinelli ahamie upande wa Saka

Manunu wafanye kujikuna kama Chelsea watupe yule kijana tuwaoneshe namna ya kumtumia🤠🤠
Isak ni injury prone itatoka pesa nyingi na wage nene halafu maswala ya mechi 38 anacheza 10.

Zinchenko auzwe. Tierney kama atashindwa kustep up kama alivyofika auzwe, energy na njaa ya Calafiori ndiyo ilikua ya Tierney wakati anafika. Ni ngumu kumbakisha benchi Tierney kama akiwa kwenye ubora wake.

Sijawahi kumuelewa Rashford. Ila kama anakuja for free na wage siyo kama ya Kai aje apambanie namba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom