Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,257
- 76,834
It's funny Arsenal tulishinda tukashangilia tukalaumiwa tunashangilia.The potters leo tutakuwa na kibarua zidi ya Fulham
View attachment 3171833
Tukascore kwa kona dhidi ya City Humble tukaletewa masharti jinsi ya kukaa mbele ya goli muda wa kona.
Tunampuga nyumbu tunalaumiwa kwanini tumempiga kwa kona. Hakuna anayewalaumu nyumbu kwa kushindwa kudefend kona.
Juzi wakati tunascore goli la pili mtafute jana Maguire alikua anafanya nini. Jana wanapigwa na Forest mtafute kijeba Martinez alikua anafanya nini.
Kwenye draft unamfunga mtu anakasirika anakuambia sasa hivi naanza mimi, unamfunga tena. Anakasirika anaanza kukulazimisha usicheze mbuzi kavimba kwakua hajui kuizuia.