Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nyumbu sidhani kama Leo wataamka
Walidhani Arsenal ni Aston Villa😄
Nyumbu nitakufunga mara 20 mfululizo bila hata kupata sare
Hii mara ya 4 naanza kuhuesabu mdogo mdogo
Nasema hivi
Tukutane FA huko nitakufunga na kikosi B
 
Nyumbu sidhani kama Leo wataamka
Walidhani Arsenal ni Aston Villa[emoji1]
Nyumbu nitakufunga mara 20 mfululizo bila hata kupata sare
Hii mara ya 4 naanza kuhuesabu mdogo mdogo
Nasema hivi
Tukutane FA huko nitakufunga na kikosi B
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuliko kuisema Man U kuna mambo mengi ya kimaendeleo tunaweza kuyafanya, mfano tu wengi wenu humu hamjui kutengeneza juisi ya Ukwaju, kwanini msitumie muda huu kupata huo ujuzi?
Glasi moja ni jero, haya ukiuza ndoo nzima utashindwa kujenga?
 
😄😀😆
 
Juice ya stafeli shilingi ngapi kwa glass boss, beki 3 ni mtaalam watengeneza.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuliko kuisema Man U kuna mambo mengi ya kimaendeleo tunaweza kuyafanya, mfano tu wengi wenu humu hamjui kutengeneza juisi ya Ukwaju, kwanini msitumie muda huu kupata huo ujuzi?
Glasi moja ni jero, haya ukiuza ndoo nzima utashindwa kujenga?
Hizi ndio stress sasa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
20241205_153437.jpg
 
Hakika Ruben alivyoona tunamfuata Ureno akakimbia.

Alichokosea alikuja wakati bado hatujawapa dozi yao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom