Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

IMG_4521.jpeg
 
Nyie asenane izi goal mtaludisha lini maana mnasema sisi wabovu lakini hata goal 4 tu mjawai kutufunga.

shame on you wenger orphans.
1733366451769.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Yanajisifu halafu magoli yenyewe yote ni ya kona, ni vile tu hua hamsomi bible kwenye Agano la kale magoli ya kona yote ni haramu.
Inabidi viongozi wa dini walikemee sana hili.
Pole kijana, naona umeanza kuelewa maana ya HARAM FOOTBOL 😂😂😂

Tunacheza huku tunafundisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom