toobiter
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,428
- 2,813
Nafikiri hii nayo ni muhimu.Tunacheza kwa tahadhari.
Inaua rhythm
Ni hatari kushindana na adui mwenye nguvu ila ni hatari zaidi kushindana na adui anayeonekana wa kawaida na hana Cha kupoteza.
Huu mchezo tunahitaji sana nidhamu