Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kumbe na msimu huu wameshachukua na kombe na hawasemi
Mambo ya Tetaball hayo, unaambiwa Tetea ndio kocha mwenye makombe mengi kuliko kocha yoyote aliewahi kufundisha Arsenyo, wakikufungulia kabati lao kuna kombe moja la FA na makombe 6 ya Emirates, Tetea apewe mkataba wa kudumu Arsenyo, Epl yote hakuna wa kumzidi kimbinu.
Masingeli anakwambia Tetea ndio mkufunzi mkuu wa makocha wote hapo barani ulaya.
 
Acha niwatetee wana Gunaz,liverkuku kamnyanyasa asenali kipnd kifup cha klopp tu …..otherwise liverkuku kapigwa vzur tu na Gunaz
 
Sidhani kama ni busara kumuachia January kiwior halafu tukabaki na zinchenko.
Kwangu Mimi Jakub namuona asset zaidi kuliko zin na ukizingatia na majeraha na wingi wa mech after january
kama tunataka ubingwa asiachwe mchezaji yoyote,lig ni ndefu,cha muhimu waongeze watu
 
Asipoelewa na hapa...
Fyekelea mbalii...
 
Fabrizio anaripoti kwamba Mauno na Kijeba wamekua suspended so hatokuepo mechi inayofuata.

Mashabiki wa Arsenal wamekasirika kwakua nyumbu watatumia hicho kama kisingizio wakifungwa. But kichekesho ni rates za hao wategemewa 😅

 
kumbe Man United tunakutana naye kwenye ligue na FA pia daah

Tutakuja kupiga huyu tuue
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…