Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
There is something disturbing Raya, see how he positioned himself before the free kick
Kule alipokua ndiyo anatakiwa awe kwakua mtu wa mguu wa kushoto aki-curve mpira ungeenda kula alipokua.There is something disturbing Raya, see how he positioned himself before the free kick
Check tena wakati wa half timeKule alipokua ndiyo anatakiwa awe kwakua mtu wa mguu wa kushoto aki-curve mpira ungeenda kula alipokua.
Sawa ila tunaendeleahii mechi droo kipa kapanikii
Sioni tatizo, shida nini?There is something disturbing Raya, see how he positioned himself before the free kick
Aliacha eneo kubwa la goli gapingSioni tatizo, shida nini?
Ya, hii ni kwa sababu upande ule ndio kaweka ukuta mkuu.Aliacha eneo kubwa la goli gaping
Merino ana shida ya gotiPartey na merino wameumia au vp hapa
Labda mpewe penalties 3 tena nyingine.Tuwapige saba yani wiki (7)
Maybe he didn't know how good is Emerson on curving the ballYa, hii ni kwa sababu upande ule ndio kaweka ukuta mkuu.
HahahahaLabda mpewe penalties 3 tena nyingine.
Bila ya kubebwa na refa hawa wagonga nyundo walikua wanawanyoosha vizuri tu leo.
Shida ukikaa nyuma ya ukuta, ngumu kuona mpira vizuri na pia ni rahisi kufumgwa upande ambao hakuna ukuta.Maybe he didn't know how good is Emerson on curving the ball
Hii dhulma ya wazi wanayofanyiwa hawa wagonga nyundo na refa tutawalipia wiki ijayo, Arsenyo bila ya kubebwa na marefa ni nyepesi kuliko bua.Hahahaha
Uzuri huu msalaba wa jumuiya kila kaya utapita. TUNAKUJA
Arsenal hii ni yamoto, alafu arsenal ndio timu inaongoza kufanyiwa unfairHii dhulma ya wazi wanayofanyiwa hawa wagonga nyundo na refa tutawalipia wiki ijayo, Arsenyo bila ya kubebwa na marefa ni nyepesi kama bua.