arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,357
- 4,402
Partey na merino wameumia au vp hapaKiwior anaweza kuuzwa.
Same na Zinchenko.
Klabu inafikiria kumuongezea mkataba Partey
Partey na merino wameumia au vp hapaKiwior anaweza kuuzwa.
Same na Zinchenko.
Klabu inafikiria kumuongezea mkataba Partey
Kai huyi ni kenge tu, ngoja boli lianze, mie ananikera zaidi ya anavyoniburudisha.
[emoji1666]Hata mie simkubali kabisa.
Wakati nacheza mpira tulikua na forward wetu tunamuita Makarateka.Kai huyi ni kenge tu, ngoja boli lianze, mie ananikera zaidi ya anavyoniburudisha.
Yes, kwa hapa hakuna kitu unaweza kuongea na mtu akakuelewa.Wakati nacheza mpira tulikua na forward wetu tunamuita Makarateka.
Jamaa alikua ana bahati ya kuscore vibaya mno. Alikua mrefu ana stature ya kizembe ila ndiye tulikua tunamtegemea kuscore.
Anachotubana Kai ni kwamba yupo hovyo ila anascore