Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna kitu kafanya ambavyo kai ajawai kufanya?
 
Liverpool Wanaongoza Ligi kwa tofauti ya point 8 huu mwezi November
Hapa ndio tutaona tofauti ya timu kubwa
Liva hawezi kufikiwa kirahisi tofauti na Asenyeto waliongoza point 8 bado mechi 10 na ubigwa ukakosekana
 
[emoji23][emoji23][emoji23] sio mechi 10 mkuu, ilikua bado mechi 8 na ubingwa hawakupata.
 
Liverpool Wanaongoza Ligi kwa tofauti ya point 8 huu mwezi November
Hapa ndio tutaona tofauti ya timu kubwa
Liva hawezi kufikiwa kirahisi tofauti na Asenyeto waliongoza point 8 bado mechi 10 na ubigwa ukakosekana
Tumeichukua hii ili tukuoneshe itavokua.
 
Naona akili ya kukaba zaidi hapa ndiyo tumekuja nayo.

Tusifanywe kama C115y tu

Hili kosi la leo Havertz atawaka kwa sababu Odegaard atamfeed mipira vizuri.
Tutegemee 2-0 first half.
 
Sporting CP kamfunga Sturm Graz, Lille na City kisha kasuluhu na PSV Eindhoven.

Do we have a chance? Yes. Kama unamfunga City na unasuluhu na PSV hauna tofauti na Spurs. Anafungwa na Ipswich kisha anamfunga City 4.

At some point City alikua anashinda huku anaconcede nikasema timu janja inahitaji kuscore na kukaba kama vile wakifungwa uhai unatoka.

Naamini tuna defense nzuri kuliko City, I hope tutaweza kuzuia attacks za Sporting shida inakuja moja. Kule mbele amepelekwa jamaa ambaye ni weak kwenye link up. Na siyo kwamba hana uwezo huo ila confidence ya kua link is shaken vibaya mno so anaopt kujiangusha, sideway passes na back passes.
 
Sporting 0 vs Arsenal 1
Martineli dk 7
Assist. Timber
 
Moto unawawakia Sporting, naona Arsenal leo kaamua liwalo na liwe
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…