Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hapana Chelsea wameimprove Sana na wanawachezaji wazuri tungeweza kufungwa kabisa yule Neto ni hatari. Chakushukuru ni Ode kurudi tuombee na Calafiori timu imeanza kuimarika hatuko mbali Sana table Iko vizuri tuache uzembe TU wa kuruhusu timu ndogo kupata matokeo kwetu
Sidhani.
 
Kumbukizi ya Nukuu za Masingeli Chambuzi nguli la soka lenye leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi.

"Mpira wa janja janja huwezi kukimbizana na UBINGWA

Watu wanapiga 7 WIN Wana draw wanaanza Tena WIN zinapigwa hata 8"

#Arsenyo Ndoo
#Haaland kiatu

1731309753496.jpg
 
Ushindi usipopatikana kwenye game, hata mzuka wa kuja huku kutamba na kufanya analysis unapungua.
Mikel afanye mpango tukirudi tutembeze vichapo ili jukwaa letu limeremete.
 
Ushindi usipopatikana kwenye game, hata mzuka wa kuja huku kutamba na kufanya analysis unapungua.
Mikel afanye mpango tukirudi tutembeze vichapo ili jukwaa letu limeremete.
Eti mtembeze vichapo wakati mechi inayofata mnakutana na mabingwa wa Uefa Nottingham Forest.
Masingeli sio mjinga, alishachanga karata zake mapema akajua kabisa misimu huu hata top4 hamtoboi, akaamua kula kona mapemaaa.
Hii ni team ya wapenzi wasindikizaji, Liverpool, Chelsea, Man Utd na Aston Villa watabeba Epl kabla ya Arsenyau.
1713620936311.jpg
 
Eti mtembeze vichapo wakati mechi inayofata mnakutana na mabingwa wa Uefa Nottingham Forest.
Masingeli sio mjinga, alishachanga karata zake mapema akajua kabisa misimu huu hata top4 hamtoboi, akaamua kula kona mapemaaa.
Hii ni team ya wapenzi wasindikizaji, Liverpool, Chelsea, Man Utd na Aston Villa atabeba Epl kabla ya Arsenyau. View attachment 3150301
wewe ngoja turudi.
Halafu nyie nyumbu hamkutufanyia poa kabisa kumfukuza Ten Hag na kumleta Amorim kabla hatujacheza na nyie wakati mnajua kabisa ligi hii ngumu kinoma.
Isiwe taabu lakini. Huyo huyo Amorim kichapo kitamhusu.
 
Ile siku ambayo Arteta anaulizwa juu ya kufungwa na akaona ni sawa kwakua ni loss ya kwanza in six months ilitakiwa ile siku aanze kupima wapi tunakosea.

Statistically mechi tulizosuluhu au kupoteza ni chache ndiyo tunakua siyo threat kabisa zingine zote mfano ya leo statistically tumekua threat kuliko mpinzani.

Hazizai matunda kwakua difference maker tuliyenaye ni Kai. Past games tumefungwa kwakua hata high line pressure tulikua hatufanyi. Kocha ashaona defense ya Inter iko vizuri kuzuia krosi means tunahitaji formation na watu ambao 1 2 haziwasumbui.

Alichofanya ni kuamini kwamba it will work.
Arteta atakufa na kai wake kuna game unaona kabisa anahitajika jesus ile yeye na kai, kai na yeye.
 
Jana nimeangalia timu kwa utulivu mkubwa.
Pattern zilikuwa sawa
Structure almost zilikuwa sawa.
Ila tulikosa quality baadhi ya maeneo

Kwakweli with my whole heart nasema Kai hatufai kama tunataka makombe ya kueleweka.

Movements zake akiwa na mpira ni za kawaida mno na mbaya zaidi hana Ile instinct ya mshambuliaji.
Yeye ni back pass na kukimbiakimbia.
Kai nilimkataa mapema saana, viwango vya kina martinelli ni mashaka, najiuliza saka ukimpeleka pale westham ama Everton atakuwa saka huyu, timu inahitaji kuboreshwa, inahitaji wachezaji wa daraja la juu, wachezaji na kocha wenye njaa na makombe.

Msimu ule liver wako hoi, man city tumemuacha gape kubwa la pointi nikasema tukikosa kombe msimu huu tusitarajie ndani ya misimu ijayo tutalipata kirahisi, alikuwa sijui ni will yule ama nani, alinipinga na kunitoa akili, lakini kile nilichokiona ndio tunakipitia...
 
Kombe tunalichukua msimu huu .., laminate this comment
 
Isidingo Fc, kwani sasa hivi tuko episode ya ngapi ndugu zangu?
Timueni tetea huyo halafu mtakuja kunishukuru baadae, yaani mnafuga tetea miaka yote 6 hata haitagi halafu nyinyi wala hamshtuki, hivi vichwa vyenu viko sawa kweli ndugu zangu?
Isije kua nahangaika hapa kuwapa ushauri na technical mbalimbali kumbe circuit zilishapiga shot kitambo.

1716474188671.jpg
Screenshot_20240523-162432.jpg
1715855498703.jpg
1730972677238.jpg
 
Back
Top Bottom