KascoreMartinell na Kai ni liability
KascoreMartinell na Kai ni liability
Still ni liabilityKascore
NakubaliStill ni liability
Hili jukwaa wana dhambi sana. Wanamuwekaga daraja moja huyo dogo na Hazard na SalahSaka anaruka ruka tu
Huo upande wake kuna mwamba Cucurella huyo anakaba mpaka sisimizi ndio maana hatembeiSaka anaruka ruka tu
Jino kwa jino na nani?Maresca yupo Chelsea kipindi kisochozidi miezi sita anaenda jino kwa jino na kocha bora wa EPL 😀😀😀
Fukuzeni kocha huyo. Hakuna mwalimu hapo. Miaka saba saba mafanikio kumzidi possession Inter Milan 😜😜😜
Jesus hamna kitu pale, kukimbia kimbia Tu na kujiangusha kama SterlingNashindwa kuelewa how Kai starts over Jesus? Hili swali nitajiuliza siku zote!
Daaahh bora Kai kuliko jesus mkuuNashindwa kuelewa how Kai starts over Jesus? Hili swali nitajiuliza siku zote!
Martineli ni takatakaMartinell na Kai ni liability
Ulivyokua na bahati mbaya umefika tu ndiyo mnashonwa wenzako wamekimbia huu uziLeo tunawanyonyoa