Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Imeisha hiyo
Kwahiyo tumefungwa!Ukiwakuta kwenye magenge yao sasa wanavyomsifia saka, kafikiri ni prime Messi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Na mlisema Ode akirudi huwa hampotezi hivi nyie wazima kweli?
R.o.p 😂R.O.P kwa KENGE
Huyu jamaa kabadilika sana kipindi cha potter na lamps kidogo alikuwa mzee wa maboko na kuappear kwenye kila meme🤣Cucurella MOTM
Kuna dhambi kibao humu sio hiyo tu...dhqmbi nyingineyo ni hizi arsenyetoz kujihisi zinachukua ubingwa wa epl🤣Hili jukwaa wana dhambi sana. Wanamuwekaga daraja moja huyo dogo na Hazard na Salah
Uwakute sasa kwenye vijiwe vyao wanavyomsifia.Saka vs Chelsea :
0 goals
0 assists
0 shots on target
0 chances created
0 accurate crosses In Marc’s pocket all game.
Cucurella MOTM
View attachment 3148947
Hata Chelsea wangekuwa makini wangeshinda piaTo be honest I'm starting to doubt the gaffer tactics. Hii game ya leo Chelsea hawakuwa hatari wala organized kihovyo ila tumepoteza point 3 kizembe kabisa.
Siwezi kuwakimbia Arsenyetoz ninyi ni ndugu zetu ila mnamaringo sana na kidomo domo ,leo tumeona tuwahurumie tu ,maana huyu Arteta wenu angezimia hapo uwanjani ,kaanza kukonda naona kichwa tu ,kimwili kinazidi kuwa mifupa tuUlivyokua na bahati mbaya umefika tu ndiyo mnashonwa wenzako wamekimbia huu uzi
Na bado hamjaasema ,mtataja visingizio vyote mwaka huuMtu anakwambia fukuzeni kocha, yani analopoka tu kama katoka chooni, wakati kweye hii table tumekutana almost timu saba mechi nyingi tukiwa away, huku red card na injury zikituandamaView attachment 3148994