Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

nimecheka mpaka nahisi mbavu zinauma.
Ogopa sana kitu inaitwa teknolojia, yaani hapa ninastock ya zaidi ya 2 terabyte(TB) ya risiti zenu na bado naendelea kukusanya risiti nyingine.
Ila mashabiki wa Arsenyau mnafurahisha sana, siwezi kwenda kulipia 50,000 kutazama Cheka Tu wakati humu kuna comedy za bure
Haina shida hizo risiti wewe zitunze, ila tukutane mwakani may
Miaka mingi tulikua tuna-struggle mwisho ila msimu huu tuna-struggle mwanzoni.

Siongei sana
 
Flano anafanya kazi maktaba ya taifa nini? Maana jamaa hapotezi data kabisa.
Sema chochote, siku yoyote ile, halafu subiri miaka hata kumi, uone kama jamaa hatakuletea hiyo data.
 
Against Milan leo.

Jana jirani yake kamshona Madrid, lazima atataka kuringisha na yeye.

Sisi si ndiyo tupo na mwanetu Kai kama ST? Let's see what will happen
 
Screenshot_2024-11-06-21-50-37-531_com.instagram.android-edit.jpg
 
Flano anafanya kazi maktaba ya taifa nini? Maana jamaa hapotezi data kabisa.
Sema chochote, siku yoyote ile, halafu subiri miaka hata kumi, uone kama jamaa hatakuletea hiyo data.
nimetoka kumwambia mkorea kua ninastock ya zaidi ya 2 terabyte ya risiti zenu na bado naendelea kukusanya risiti nyingine.
Binaadamu tumeumbiwa kusahau, hivyo ni muhimu kuwatunzia risiti zenu ili siku ukijifanya kukengeuka tunakuonesha mkeka wako vile ulivyotoa boko.
Hapa na wewe HENRY14 uliungama na kukubali kua Arsenyau ni fungu la kukosa, kila msimu mnamaliza kwa huzuni halafu nyumbu na pira lao la papatu papatu lakini mwisho wa msimu wanamaliza na furaha kama yote kwa kubeba kombe.
1730920309569.jpg
 
Nianzie hapa: Link ya Sanka na white huwa ipo active Sana na yenye kuleta positive impact kwa 90% kwa jinsi walivyozoeana
Overlap za white ndio kitu tunakimiss Sana
Na odegard akirudi ndio kabisa ubora wa Saka utazidi kuonekana

Merino yupo upande wa martineli, Kama xhaka alivyokua anacheza na martineli ndio Sasa Merino aifanye hiyo kazi

Partey in the middle. Octopus partey

Ukuta upo vizuri as usual, golini yupo kipa Bora epl

Trossad ni mtu sana na kai ni mtu na nusu
Screenshot_20241106-223143.jpg
 
Nianzie hapa: Link ya Sanka na white huwa ipo active Sana na yenye kuleta positive impact kwa 90% kwa jinsi walivyozoeana
Overlap za white ndio kitu tunakimiss Sana
Na odegard akirudi ndio kabisa ubora wa Saka utazidi kuonekana

Merino yupo upande wa martineli, Kama xhaka alivyokua anacheza na martineli ndio Sasa Merino aifanye hiyo kazi

Partey in the middle. Octopus partey

Ukuta upo vizuri as usual, golini yupo kipa Bora epl

Trossad ni mtu sana na kai ni mtu na nusuView attachment 3145589

Ubunifu bado tutakosa ila tujitahidi kushinda, tena kwa kucheza boli zuri. Tujitahidi kuimarika mechi kwa mechi na hatimae tutakaa sawa kama tulivyokuwa awali.
 
Struggling to get the ball.

We get the ball.

Inaanza back passes
 
Nianzie hapa: Link ya Sanka na white huwa ipo active Sana na yenye kuleta positive impact kwa 90% kwa jinsi walivyozoeana
Overlap za white ndio kitu tunakimiss Sana
Na odegard akirudi ndio kabisa ubora wa Saka utazidi kuonekana

Merino yupo upande wa martineli, Kama xhaka alivyokua anacheza na martineli ndio Sasa Merino aifanye hiyo kazi

Partey in the middle. Octopus partey

Ukuta upo vizuri as usual, golini yupo kipa Bora epl

Trossad ni mtu sana na kai ni mtu na nusuView attachment 3145589
Kipa bora epl washamdungua huko
 
Back
Top Bottom