Hyo yote ndo kisa kichapo cha juzi?Edu atumalizie kwanza pesa kidogo usajili wa Kai na Jog kabla hajaachia udirector
hata ungekuwa ni wewe mkuu project gani mwaka inaeda wa 6 mpo vile vile tu😁😁😁Edu anaondoka Arsenal
Nenda kaendelee kutabiri mnashindahata ungekuwa ni wewe mkuu project gani mwaka inaeda wa 6 mpo vile vile tu😁😁😁
Maneno na picha haviusiani.
View attachment 3143454
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mambo ya Netflix yameshamchosha tayari, tokea msimu uliopita alitoa ushauri kwenye bodi waachane na Tetea watafute kocha wa kueleweka lakini mmiliki wa timu anapinga.Hii phase vipi?? Maana Edu na Arteta ndo walikua ma kampeni manager wa PHASE FOOTBALL, walipewa false hope kuwa phase ndo kwanza zinaanza.
Edu anaondoka phase sijui ya ngap hii hana kombe [emoji23]
Kila mmoja ataondoka bila kombe , hivi jamii check si waacheki hii arsenal jina lake halisi sio FALSE HOPE FC kweli?
Mkuu wew na arsenal mkae chini mmalize tofauti zenu😃🙌[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mambo ya Netflix yameshamchosha tayari, tokea msimu uliopita alitoa ushauri kwenye bodi waachane na Tetea watafute kocha wa kueleweka lakini mmiliki wa timu anapinga.
Juzi baada kugongwa na Newcastle Edo alimind vibaya mno walizozana sana na kocha, bado nusu Edo amlambe makofi tetea.
Jamaa kaona bora aende akafanye kazi na Nottingham Forest, timu yenye walau inatambulika na Uefa kuliko kuendelea kutizama episode za Netflix zisizo na mwisho.
Za chinichini Edo anadai kua tokea Tetea alivyoanzisha mahusiano na mtoto wa boss Josh Kroenke amekua na kibri sana, Josh Kroenke ndio mtoto pekee wa kiume wa mzee Stan Kroenke, na ndie msimamizi wa makampuni na miradi yote ya baba yake, sasa Edo mambo ya kugombana na mke mdogo wa boss ameona yanaweza yakamletea matatizo halafu mwisho wa siku akaishia jela. View attachment 3143843
Tokea msimu uliopita Edu alikua anasisitiza watafute kocha wa kueleweka lakini baadhi ya viongozi na wamiliki wa timu wanampinga.
Jamaa anatumia nguvu nyingi ili timu ipate mafanikio na kubeba makombe ya maana, lakini anaona kwa kuendelea kumuamini na kumtegemea huyo kocha wenu Tetea juhudi zote Edu anazofanya ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
Ameona bora akapambanie ndoto zake sehemu nyingine, anaimani kama walivyotimiza ndoto zao kina Xhaka, Fabregas, Van Persie, Chamberlain na wengineo na yeye bado ana nafasi ya kutimiza ndoto zake nje ya Arsenyau.
Kwa lipi labda?Huyu kocha wetu mbona anawatoa roho sana 😂😂😂, huyu haendi popote
Kumbe ni chakula y boss eeh?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mambo ya Netflix yameshamchosha tayari, tokea msimu uliopita alitoa ushauri kwenye bodi waachane na Tetea watafute kocha wa kueleweka lakini mmiliki wa timu anapinga.
Juzi baada kugongwa na Newcastle Edo alimind vibaya mno walizozana sana na kocha, bado nusu Edo amlambe makofi tetea.
Jamaa kaona bora aende akafanye kazi na Nottingham Forest, timu yenye walau inatambulika na Uefa kuliko kuendelea kutizama episode za Netflix zisizo na mwisho.
Za chinichini Edo anadai kua tokea Tetea alivyoanzisha mahusiano na mtoto wa boss Josh Kroenke amekua na kibri sana, Josh Kroenke ndio mtoto pekee wa kiume wa mzee Stan Kroenke, na ndie msimamizi wa makampuni na miradi yote ya baba yake, sasa Edo mambo ya kugombana na mke mdogo wa boss ameona yanaweza yakamletea matatizo halafu mwisho wa siku akaishia jela. View attachment 3143843
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuanzia 1 mpaka 5 yote ni majibu lakini 6 ndio jibu sahihi.Swala la kuondoka edu Gaspar kama director linaleta maswali mengi mno ila muhimu ni haya
1.Je ni sababu za kimpira TU?
2.je ni maslahi kwamba kapata malisho Bora kuliko ya arsenal.
3.Au ni self evaluation and reflection
4.Ni pressure ya uongozi na mashabiki kuhusu matarajio na kufikiwa kwa malengo .
5.Ni leadership fatigue kwamba amechoka na anataka kujaribu kitu kipya?.
6.Je kuna mahusiano yenye afya kati yake na head coach kuhusu muelekeo wa team nje ya tabasamu yunaloliona mbele ya camera.?
Kwangu edu nitamheshimu kwanamna alivyoshiriki kwenye transformation ya team.
Weldone Mr arsenal,tutakukumbuka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sidhani kama hilo jambo litawezekana iseee, ni rahisi mno kwa Kiba na Mondi kumaliza tofauti zao na kufanya collabor lakini sio kwangu mimi na Asaninyau[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu wew na arsenal mkae chini mmalize tofauti zenu[emoji2][emoji119]
Daah naona maiti za man u zinachekelea zinapoona ambulance zilizobeba wagonjwa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuanzia 1 mpaka 5 yote ni majibu lakini 6 ndio jibu sahihi.
Juzi chupuchupu Edu amtie makofi Tetea, unaambiwa siku Tetea akiamkia kwenye Villa la Josh Kreonke hua anamfyonya kila anaepishana nae hapo Sobha Realty Training Centre na hakuna wa kumfanya kitu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hawa Kima kipindi hiki ndio cha kuwaziba pua na midomo, wakitaka kupumua labda wapumulie kwenye pua ya chini ile yenye tundu moja[emoji38][emoji38][emoji38]Flano hutaki arsenal wapumue.
Mm nilishasema man u na Chelsea watarudi na kuchukua EPL kabla ya Hawa false hope FC.
[emoji23][emoji23][emoji23] Sio Newcastle peke yao, Bundi ndio ameshatua rasmi nyumbani kwenu. Sasa hivi kila timu mtayokutana nayo mtakua mnawaita wapuuzi, wiki ijayo ni zamu ya Chelsea nao mtawaita wapuuzi baada ya kuwagonga.Daah naona maiti za man u zinachekelea zinapoona ambulance zilizobeba wagonjwa.
Hahaha mkuu Flano kwasasa sisi hatubishani na nyie.
Ila Newcastle wapuuzi sana wale