toobiter
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,428
- 2,813
Hahaaa[emoji23][emoji23][emoji23] Sio Newcastle peke yao, Bundi ndio ameshatua rasmi nyumbani kwenu. Sasa hivi kila timu mtayokutana nayo mtakua mnawaita wapuuzi, wiki ijayo ni zamu ya Chelsea nao mtawaita wapuuzi baada ya kuwagonga.
Msimu huu naiona Man Utd inamaliza ligi ikiwa juu ya Arsenyau tena kwa points nyingi.
Leicester City ilikua ni one season wonder lakini hawakufanya makosa wakabeba Epl, Arsenyau imekua na two season wonder with nothing na ndio tayari mmesharudi rasmi kwenye default mode.
Masingeli sio mjinga kulikimbia hili jukwaa mapema, jamaa hua linakuga na machale utafikiri starling wa kihindi [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 3144142
Bundi?hana kipya kwetu.nyie bundi mnamchukulia kama ndege wa kichawi ila kwetu kawaida.
Nakuhakikishia tu,tumefungwa kama inavyotokea kwa wengine kufungwa.
Tupo na hatuna presha kabisa.