Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tulifungwa na Bournemouth Arteta alivyohojiwa akajibu

"In context we have lost once in 6 months"

Boss felt we are invincible and here we are. Usually hii ni tabia inaanza kabla ya a great fall.

Arteta ajirekebishe, some mistakes tunaweza ziona hata watazamaji. Aache ujinga
 
Predictable style of play. Hakuna plan B.

Kwani Arteta katufikisha wapi?
Well, well... Kwanza naomba ufahamu mimi ni shabiki mkubwa wa Wenger, yeye na Henry ndio walinifanya niishabikie Arsenal.

Back to the point, umesahau misimu ya mwisho kwa Wenger hata klabu bingwa tulishaisahau? Huyu katurudisha sio tu klabu bingwa, bali kwenye mbio za ubingwa kwa misimu miwili mfululizo tukishindwa kwa points kiduchu.
 
Tulifungwa na Bournemouth Arteta alivyohojiwa akajibu

"In context we have lost once in 6 months"

Boss felt we are invincible and here we are. Usually hii ni tabia inaanza kabla ya a great fall.

Arteta ajirekebishe, some mistakes tunaweza ziona hata watazamaji. Aache ujinga
Hawezi kubadilika huyo mbishi sana.
 
Back
Top Bottom