Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,550
- 6,513
Aisee perfomance yetu inasikitisha mno yani unaangalia mpira ukiwa na huzuni sana
Viazi viazi kama wewe ni kuwapoteza maboya tuNyie matapel sio wa kubetia tena…msharud kwenye asili yenu ya kpnd cha wenga
Nani kiazi wew kande,na kocha mpya wa majogoo atachukua Ligi kabla yenu nyie mayatima wa wengaViazi viazi kama wewe ni kuwapoteza maboya tu
Wote mnaobet dawa yenu ni hiyo. Hii show haiwahusuNani kiazi wew kande,na kocha mpya wa majogoo atachukua Ligi kabla yenu nyie mayatima wa wenga
Sawa ila na nyie ligi na Uefa mtaiskia kwa majiran tu….kenge wekundu nyinyi.Wote mnaobet dawa yenu ni hiyo. Hii show haiwahusu
Dah 😅Sawa ila na nyie ligi na Uefa mtaiskia kwa majiran tu….kenge wekundu nyinyi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] False hope Fc kwenye ubora wao, wenyewe kila msimu kazi yao ni kupeana matumaini hewa tu.Nimeikuta sehemu nikasema ngoja niwasalimie false hopers mpo[emoji23][emoji23]
Could feature on Sunday, don't worry muchCalafiori injured
Timber na Saka wote wametrainHivi Saka na Timber watakuwepo mechi na Liverpool bado wanauguza majeraha