Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

80% mkuu.
We si unaona nidhamu ya SLOT dhidi ya wapinzani.
Watengeneza odds beg to differ

Screenshot_2024-10-26-10-03-28-381_com.android.chrome-edit.jpg
 
Flano Ally pipi
Hamis77 kumbe yupo bhana kaanzisha uzi, kahamia kwenye vita ya wayahudi na waarabu
Labyrinth 84
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli hii timu ilishamtokea puani tayari, sasa hivi hataki kusikia habari zozote kuhusu Arsenyau, hata huko kwenye majukwaa mengine ukichomekea mambo ya Asaninyau ana logout.
Msimu ulioisha Arsenyo ilimuachia majeraha yasiyopona [emoji16][emoji16][emoji16]
Hili litimu jinsi lilivyomtenda, sasa hivi hana tofauti na wale wanaosema Wanaume wote ni mbwa tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ndio hali anayopitia Masingeli kwa sasa juu ya Arsenyani [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mwingine huyu wa livescore, kwa hiyo ww ukishaangalia livescore basii inatosha, halafu ukitoka hapo unakuja kutupgia kelele kumbe hujui kitu. Shuubamit
Kwani Chelsea ipo nafasi ya ngapi??tuanze na hilo kwanza,pili Msimu uliyopita Arsenal alikugonga Goli 5,sahihi si sahihi?
 
Unajiita wa kimataifa na hauna hata kombe moja la kitaifa, sijui unaelewa unachokiandika? au shibe imeshakulevya?
Ila leo una hasira mwanetu.

Sasa kwani Uefa nacheza na kenge au nyumbu? Si timu za nchi zingine? Sasa wewe ambacho huelewi kwamba hiyo tournament ni ya kimataifa na washiriki ni timu za kimataifa ni nini?
 
Kwani Chelsea ipo nafasi ya ngapi??tuanze na hilo kwanza,pili Msimu uliyopita Arsenal alikugonga Goli 5,sahihi si sahihi?
Mzee wa livescore, hata tuwe nafasi ya 10 na wewe ya kwanza inakusaidia nini? Goli tano zilikusaidia nini? City watakwambia walikuchukua EPL wewe na mimi wote hatuna tulichopata. We kama furaha yako ni kuangalia livescore Arsenal cjui ipo ya ngapi endelea kufurahia livescore.

Arsenal mmenyewa nyie kila msimu mtaishia kushangilia vitu visivyoeleweka mlianza phase, mkaja kushangilia goal difference, overlod, sahv mna boko haram, dark arts sijui msimu ujao mtakuja na vituko gani, yaan kama wehu vile.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom