Mzee wa livescore, hata tuwe nafasi ya 10 na wewe ya kwanza inakusaidia nini? Goli tano zilikusaidia nini? City watakwambia walikuchukua EPL wewe na mimi wote hatuna tulichopata. We kama furaha yako ni kuangalia livescore Arsenal cjui ipo ya ngapi endelea kufurahia livescore.Kwani Chelsea ipo nafasi ya ngapi??tuanze na hilo kwanza,pili Msimu uliyopita Arsenal alikugonga Goli 5,sahihi si sahihi?
Arsenal mmenyewa nyie kila msimu mtaishia kushangilia vitu visivyoeleweka mlianza phase, mkaja kushangilia goal difference, overlod, sahv mna boko haram, dark arts sijui msimu ujao mtakuja na vituko gani, yaan kama wehu vile.

