Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hatupo serious hamna ubingwa humu hii team ilishalaniwa.
Tafuteni kocha wa kueleweka, huyo Tetea wenu hawezi kuwafikisha kokote, kila msimu nyie mtakua wasindikizaji tu.
Tetea ni kocha wa Mid table team, nawahakikishia angekua anafundisha Brighton au Spurs hata misimu miwili asingemaliza wangekua wameshamtimua, msiwaone Barca ni wajinga sana kwa kumtimua Xavi au Madrid ni wapuuzi kumtimua Zidane.
Tetea hafai hata kuwa kocha wa timu ya wanawake, sehemu pekee yenye tija kwake ni kufundisha na kuwalea watoto wa Academy, tena hao watoto wenyewe inabidi muwatafutie kocha wa nidhamu la sivyo lazima wataharibikia kwenye mikono ya Tetea.
 
Ukitaka kujua hawa jamaa wanashida mahali, watakuja kudiscus hapa kuwa marefa wanawahujumu kwa kuwapa red card utafikiri red card wanapewa Arsenal peke yao, timu nyingine hazipewi red card.
 
Sijui kuna tatizo gani la kula red kadi kila baada ya wiki, hivi sasa tuna 3 hata robo ya ligi bado. Kwa mwendo huu msimu huu tutakuwa na kumi na hatari ya kucheza Champions League mwaka ujao tukakosa, let alone ubingwa wa EPL.
 
Wasipochukua Man City kombe mtabeba nyny mkuu🀠🀠🀠....maana unawashwawashwa sana kuona tunateleza ila wapi....nakukumbusha siku za kulipanq deni zinakaribia....TAfuteni kipa na mabeki wa kueleweka....hatutaki lawama siku hyo
Nyie Mabeki wa kueleweka ndo hao kina siliba na kwio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…