Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,811
- 13,764
Yule bwana Toney ilikuwaje tukampotezea.Timu inahitaji namba 9, hilo liko uchi.
Yule bwana Toney ilikuwaje tukampotezea.Timu inahitaji namba 9, hilo liko uchi.
Kama taarifa ni za kweli hii inamaanisha hata wao wanajua ST anahitajika.Timu inahitaji namba 9, hilo liko uchi.
Tabia za nje ya uwanja.Yule bwana Toney ilikuwaje tukampotezea.
Nahisi usela mavi wake ndio ulimponza zaidi.Yule bwana Toney ilikuwaje tukampotezea.
Huyo striker wa Sporting si alikuwa Championship England asije kurudi EPL akaflop.Kama taarifa ni za kweli hii inamaanisha hata wao wanajua ST anahitajika.
At least uwe na mtu anayeweza kukupa goli 20 kwa uhakika kila msimu na Kai awepo.
Yeah, lolote linaweza kutokea.Huyo striker wa Sporting si alikuwa Championship England asije kurudi EPL akaflop.
Miezi 9[emoji24][emoji24]Injury to Saka
Chanzo cha taarifa yako ni kipi bosi.Miezi 9[emoji24][emoji24]
Asikusumbue hyo ni shabiki lialia wa ManunuChanzo cha taarifa yako ni kipi bosi.
Tukikutana mjitahid kucheza haram ndio kidogo mtapata sare, ila mbali na hapo mkifunguka tu aisee tutawapaka vilainishi.Wasipochukua Man City kombe mtabeba nyny mkuu🤠🤠🤠....maana unawashwawashwa sana kuona tunateleza ila wapi....nakukumbusha siku za kulipanq deni zinakaribia....TAfuteni kipa na mabeki wa kueleweka....hatutaki lawama siku hyo
Anaongea mtu alogongwa kono la nyani mechi ilopita🤣🤣🤣....mna uthubutu vijana....timu yenye forward Jackson haiwezi kutufunga sisi....TAfuteni beki na viungo wa kueleweka pia yule kipa badilisheni....siku hyo hatuji kutembeq pale tunakuja kwa kazi moja tu....kuwanyonyoaTukikutana mjitahid kucheza haram ndio kidogo mtapata sare, ila mbali na hapo mkifunguka tu aisee tutawapaka vilainishi.
Aisee 😅Leo kuna timu tatu mchezaji mmoja kapigwa red.
Tujiangalie hapa. Anyway, I ....