Arsenal ina very small squad compared to Man U au Chelsia, si unaona wenzetu walipumzisha mastaa wao lakini bado wakaja na timu kali? realistically we cant afford to compete in three different competitions, it was a matter of choosing jana priority iwe wapi kati ya FA Cup na Champions Lg. Almunia (sick), Adebayor, Flamini, Fabregas na Cliechy wote walikua na injuries, Sagna had family problems. Sasa ilikua ni a matter of choice, tuwatumie jana na kuwakosa jumatano against Milan? Ndio maana tulikua na uchochoro beki ya kulia na kushoto, kipa bomu- they played like a bunch of alcoholics lakini matunda ya kichapo cha jana yataonekana jumatano jioni! Its going to be a different game pia tukienda tena trafford kwa mechi ya ligi.