Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Soton kawasumbua mmemfunga bila clean sheet sisi tumepiga na clean sheet.

Ok poa. Sisi Villa tumempiga na clean sheet nyinyi vipi?
 
Katika jaribio la kuiokoa Chelkenge refa kaongeza dk 13
Ila wapi,wamebebwa lakini hawabebeki.
Nimeanza kuwaamini wale wanaosema ligi inaanza rasmi mwezi wa 12. Kwa vile kenge bado yupo huko juu,inaanisha ligi bado haijaanza
 
Ila wapi,wamebebwa lakini hawabebeki.
Nimeanza kuwaamini wale wanaosema ligi inaanza rasmi mwezi wa 12. Kwa vile kenge bado yupo huko juu,inaanisha ligi bado haijaanza
Kabisa...ukiona Chelkenge sijui wa nne mara Tano ujue hapo ligi bado.....ila ikifika ile miezi yetu ya 12 na kuendelea unawakuta wako chinichini kule wamejimix na kina Fulham🤠🤠🤠....hapo Sasa ndo ujue ligi imepamba moto
 
What a terrible turn of events at Falmer stadium!!

Ooooh wait, we love this terrible turn of events at Falmer stadium!!
 
Ukweli ni kwamba ninyi sio wazuri sana ila mna upepo tu misimu hii miwili.
Mmepelekwa na SOTON kiasi kwamba isingekuwa bahati ilikuwa iwe ama draw au mfungwe kabisa.

Timu imepigwa na Man Utd mbovu goli 3 na clean sheet juu imewatoa jasho hivi halafu bado mnawaza ubingwa!
Sisi si tulikuwa tumetoka kukipiga na PSG tukawapa kichapo? Tulipumzika siku mbili tu baada ya game ya ligi ya mabingwa wa Ulaya.
Nyie mlikuwa mmetoka kucheza na nani na mlipumzika siku ngapi kabla ya kukutana nao?
 
Huyo KAI bado ni takataka
Kumbukumbu EPL 22/23 match week 7 Arsenal vs Bournemouth, ndani ya banda umiza.

Tunapata penalty, Odegard anampa ball Kai apige. Mashabiki wanagawanyika ndani ya banda umiza. Wengi wakisema anakosa huyo.

Mashabiki ya KENGE yanasikika yakisema, hakuna mpigaji wenu wa penalty anayemfikia HAVERTZ hapo Emirates. Kai anachukua ball, anaweka waah. Kai, aibu imemjaa hata kwenye kushangilia.

Msimu huu match week 7, banda umiza, baada ya first half, kila shabiki anataka second half Jesus apumzike, Kai awe CF. Dk ya 58 anaturudisha mchezoni!

Kai Lucas Havertz, kutoka katika goli la huruma, kuja kuwa mchezaji wa pili kufunga magoli 7 mfululizo ndani ya Emirates

View attachment 3116502View attachment 3116503
 
Arsenal imeanza kuripoti wachezaji wake ni majeruhi ili wasiende timu za taifa.

Wa kwanza ni Kai
Forward wa kuaminika kwa Sasa ni yy tu pale....na anaongoza kulipwa hela nyng....hii knee injury nimejiuliza kaipata saa ngapi wakati kacheza mechi nzima fresh....hapa kuna uhuni wa Arteta....natamani na Saka naye angetafutiwa majeruhi yyte....jamaa anatumika sana mpk inaogopesha
 
Forward wa kuaminika kwa Sasa ni yy tu pale....na anaongoza kulipwa hela nyng....hii knee injury nimejiuliza kaipata saa ngapi wakati kacheza mechi nzima fresh....hapa kuna uhuni wa Arteta....natamani na Saka naye angetafutiwa majeruhi yyte....jamaa anatumika sana mpk inaogopesha
Mashabiki wote tunaamini ni ujanja tu. Huu msimu tumeanza na majeruhi wengi ambao waliyapata wakiwa international duties tena mechi ambazo hazina umuhimu
 
Back
Top Bottom