Breaking flow play ya wapinzani. Mfano wanashambulia mnawafanyia light foul, mpira unasimamishwa ila mchezaji hapati kadi.Hivi hizo dark arts tunazoambiwa tunatumia ni zipi waungwana
Kupoteza muda. Kipa kulala na mchezaji kuonyesha kaumia anahitaji medical team imtibu. Hapa hapa pia ni medical team kutumia muda mrefu uwanjani.
Tauntings.
Kumzingira kipa muda wa set pieces.
N.k.
Baada ya C115y kupasuka goli la kona juzi ndiyo haya mambo yameanza