Jackson na Nkunku wanawazidi maforward wenu wote magoli hadi sasaKwa forward ya Jackson au siyo🤣🤣🤣....mkuu mkijirahidi ni Europa mnaenda kucheza...si vinginevyo
Unaona tunavyomsulubu Brighton huko ?Kwa forward ya Jackson au siyo🤣🤣🤣....mkuu mkijirahidi ni Europa mnaenda kucheza...si vinginevyo
Sasa fixture yenu ingekua kama ya Arsenal mngekua wapi? 😅😅Jackson na Nkunku wanawazidi maforward wenu wote magoli hadi sasa
Acha visingizio kakaSasa fixture yenu ingekua kama ya Arsenal mngekua wapi? 😅😅
Mechi UCL
Mechi Carabao
Mechi ligi
Nakwambia ukweli unasema visingizioAcha visingizio kaka
Yuko vizuri aiseeHuyu kipa wa Leicester yuko vizuri.
Kuna mtu kamuona Vardy akiwa kagusa mpira?
Leo mnakaangwa kaka ,Mashetani yamewapanda Leicester ,mmekslia nafasi yetu muda mrefu ninyi matapeli ,ni muda muafaka wa kuachia ngazi ,real champions WA England tunaclaim nafasi yetu .Nakwambia ukweli unasema visingizio