Arsenyetoz hamna ubavu wa kutuvimbia sisi ,nyie ni watoto wadogo sana tena mayai mayai.Ww mbona crystal palace alikutoa kamasi Nyumbani kwako🤠🤠🤠...unaongea nn ww bwana mdgo...uzuri mwezi wa 11 tutakutana...tutaona hiki kidomodomo chako utakiweka wapi
Tutawanyoosha sana msimu huu