Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Oh finallyyyyyy
Hahaha kengeFalse hopers kwenye default mode ,mchezaji gani anaitwa calafiori sijui Nwaneri sijui saka ,majina mabovu ,we uliona wapi
Hiyo dozi tuliwapiga nayo City 😅😅Hawa majamaa wanajazana ndani ya box kama kiberiti kipya
TunaongozaMwanaheri ameingia kuwaokoa asenyeto
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hiyo dozi tuliwapiga nayo City [emoji28][emoji28]
Imerudishwa kwetu
Daaaah!!!Mwanaheri ameingia kuwaokoa asenyeto
Alidhani Sterling amempora kipa maliLogic ya goli kukataliwa iko wapi? Huyu refa mpuuzi
Kenge limeandika utumbo halafu limekimbia 🤣🤣False hopers kwenye default mode yenu
kahongwa na man city..Logic ya goli kukataliwa iko wapi? Huyu refa mpuuzi
Na goli la 3 deflection ya nani?Justin ameamua kumrudishia tena Kai goli kama shukrani ya kumsaidia kwa ile deflection.