gTurn
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,511
- 7,217
Sikuona tatizo la kalafiori at first place shida ni trossad alitakiwa kutrack space ilitoachwa na cala kumbuka Kala alienda kumark what if ule mpira ungetua mbele ya Kala kama ange mark mfungaji wa goli alitakiwa kumark watu wawili asingeweza kosa ni la Trossad kuchelewa kudrop ile spaceKuna pattern naiona hapa.
Arteta alilazimisha kumchezesha Kai games nyingi hata baadhi ya defeats na draws zilisababishwa na uwepo wa Kai.
Saa hii anamchezesha Calafiori ingawa kuna makosa yanaonekana kwa urahisi tu. Notice kwamba Kiwior did a better job.
Ila kocha anakomaa na Calafiori.
Absurd