Chama la wana leo tunakiwasha na dunia nzima inafurahi ,mtaani tunavimba kibabe sasa hivi .
Ninyi pigeni sifa tu ,sisi sasa hivi hatuna maneno mengi ,tunaxhidhs dozi nzito nzito ,yaani kifupi sisi ni " mtu kazi "
Usiombe kukutwa na sisi bwana pepsi , tutawapa kipigo ambacho hamtasahau , sasa hivi kila anayesogea mbele yetu hatuna mzaha ni goli 3 na kuendelea tasmia wenyewe mfungwe tatu ,nne ,Khamsa nk ni ninyi wenyewe tu .
Najua unadhani natania ila we mwenyewe utaona shughuli , huyo mamasita aka mancity alitubahatisha tu ile mechi kama uliangalia vizuri , na ni mechi ya kwanza , chemistry haikuwa ka ilivyo sasa .
Mkuu nakupa onyo : Arsenyetoz tutawakanda vibaya sana .
Chelsea bingwa