Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Imagine muda huu Calafiori anacheza pembeni ya Partey na wapo huku kwa Saka kabisa 😅
 
Huyu Calafiori ananikumbusha nyumbu walimsajili Telles kama LB, kocha wao akaanza kumchezesha kama winger.

Wangekua na Calafiori wangemchezesha ST
 
Nafikiri zilikua zimebaki timu nne ambazo hazijapoteza mechi.

Brighton akipasuka leo anapunguza idadi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom