arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,359
- 4,408
Twende taratibu, ushabiki maandazi weka pembeni.
Wazungu wanasema hivi "In association with International Football Association Board (IFAB) guidance to enhance effective playing time, referees will caution(yellow card) players when they are deemed to have delayed the restart.
A player will be cautioned if they are guilty of delaying the restart of play or failing to respect the required distance when play is restarted with a dropped ball, corner kick, free kick or throw-in."
Cheki hapa chini, Doku makusudi kabisa, anapiga mpira wakati Arsenal wamezawadiwa free kick. Kwa mujibu wa maelezo hapo juu na ya kwako, Doku ilibidi awe cautioned na yellow card. Refa alitoa kadi?
Tuje kwa tukio la Trossard. Tukubaliane wote, Trossard alicheza foul kwa Silva. Baada ya foul Trossard aliwahi mpira, na kuupiga mbele ili Martinelli awahi ule mpira. Lengo sio kuchelewesha muda. Nimekuwekea picha hapa chini. Refa akatoa kadi.
Mechi Ile Ile, maamuzi tofauti
View attachment 3104369View attachment 3104374wanajaribu sana kupigisha shoti Ili tupoteze focus ila wapi🤠🤠🤠....hzi mechi Tano za kwanza walimwengu walijua kuna vichapo vitakuwepo ila wapi...mpk Sasa yule wa juu katuacha points mbili....Spurs away na City away tumebeba points 4....kiukweli Manunu na Chelkenge na Livakuku wajiandae kabisa....hatutaki malalamiko tukikutana
wanajaribu sana kupigisha shoti Ili tupoteze focus ila wapi🤠🤠🤠....hzi mechi Tano za kwanza walimwengu walijua kuna vichapo vitakuwepo ila wapi...mpk Sasa yule wa juu katuacha points mbili....Spurs away na City away tumebeba points 4....kiukweli Manunu na Chelkenge na Livakuku wajiandae kabisa....hatutaki malalamiko tukikutana
Mkuu uko sahihi sana kwa Doku kutopewa adhabu kwa kuchelewesha mpira makusudi, lakini je, sheria ilikosea kumhukumu Trossard kwa kosa la kuchelewesha mchezo?Twende taratibu, ushabiki maandazi weka pembeni.
Wazungu wanasema hivi "In association with International Football Association Board (IFAB) guidance to enhance effective playing time, referees will caution(yellow card) players when they are deemed to have delayed the restart.
A player will be cautioned if they are guilty of delaying the restart of play or failing to respect the required distance when play is restarted with a dropped ball, corner kick, free kick or throw-in."
Cheki hapa chini, Doku makusudi kabisa, anapiga mpira wakati Arsenal wamezawadiwa free kick. Kwa mujibu wa maelezo hapo juu na ya kwako, Doku ilibidi awe cautioned na yellow card. Refa alitoa kadi?
Tuje kwa tukio la Trossard. Tukubaliane wote, Trossard alicheza foul kwa Silva. Baada ya foul Trossard aliwahi mpira, na kuupiga mbele ili Martinelli awahi ule mpira. Lengo sio kuchelewesha muda. Nimekuwekea picha hapa chini. Refa akatoa kadi.
Mechi Ile Ile, maamuzi tofauti
View attachment 3104369View attachment 3104374
Watu wanajiuliza ni kivipi utaifunga Arsenal hii? hii ndio sababu ya sisi kuchukua ubingwa msimu huu. Refa akikusaidia utapata draw, usiposaidiwa tunapiga kwenye mshono.Suala sio kufananisha matukio yaliyokwishatokea na ya jana, tuangalie sheria inasemaje mchezaji anapopiga mpira mbali baada ya mwamuzi kupuliza kipyenga.
Tatizo lemu AssAnal mnasahau mapema, huwa mnaanza ligi kwa kiherehere kama hivi ila mwishoni ulimi wote nje. Ni nini kinawapa tumaini kuwa msimu huu utakuwa tofauti na misimu mingine yote iliyopita mkawa mnataga?
Hayo ndo maneno ya kiutu uzimaMkuu uko sahihi sana kwa Doku kutopewa adhabu kwa kuchelewesha mpira makusudi, lakini je, sheria ilikosea kumhukumu Trossard kwa kosa la kuchelewesha mchezo?
Wakati mwingine kufanikisha jambo kwenye maisha tunahitaji bahati, kitu ambacho Arsenal mnakosa sasa hivi kwa kudhani nyie ni champion material kama ilivyokuwa kipindi Liverpool anafukuzana na huyu Pep.
Kuweni watulivu makosa madogo madogo kwenye mpira yanakuwepo aidha yawe upande wenu au yawaue kama jana. Muda wenu ukifika mtanyanyua kwapa ila inaonekana sio sasa.
Jambo jemaKuna uwezekano Rodri wa Manchester City atakaa nje msimu mzima baada ya kupata injury ya ACL
[emoji599] Rodri ACL
[emoji1614] Arsenal wapewe kombe lao maana mwokozi pekee wa city aliebaki ni Haaland tuView attachment 3104594
Castr mtu wangu wa nguvu inakuwaje aariff. Niko hapa na wanangu tunachakachua juis ya Azam maembe.Nimependa attitude ya wachezaji baada ya kuconcede goli.
Next time hatutapata red
Nyie kondoo mnapenda kulialia. Mtaanza kudanganyana marefa wapo against na Arsenal utasema mna timu tishio kumbe mnajulikana hamna madhara. Arsenal sio timu y kwanza kupewa red card y aina hiyo so acheni kulialia.Msimu uliopita Arsenal tukiwa tunacheza na City Kovacic akapata yellow kisha akafanya kosa jingine akatakiwa kupata yellow nyingine.
Refa hakutoa yellow ya pili.
Alipokuja kuulizwa baadaye akasema angetoa ya pili angeinfluence mechi yote.
Jana usiku Trossard akagewa yellow mbili na kuinfluence mechi nzima.
Refa ambaye aligoma kumpa Kovacic yellow ya pili ni Michael Oliver.
Refa aliyempa jana Trossard kadi mbili za yellow ni Michael Oliver.
Go figure
Msikilizeni huyu, kuna waliofungwa na wapo juu yako.Timu yako kama imeshafungwa mechi usiingie humu ku comment, tambua wewe ni mtoto mdogo unayejikojolea tu, humu waachie watu wazima wenye uhakika wa kwenda invincible. Understand the level.
Sometimes hua sikuelewi unakua umelenga nini.Nyie kondoo mnapenda kulialia. Mtaanza kudanganyana marefa wapo against na Arsenal utasema mna timu tishio kumbe mnajulikana hamna madhara. Arsenal sio timu y kwanza kupewa red card y aina hiyo so acheni kulialia.
View attachment 3104863
Juzi au jana ulitutishia kua tumekuacha point moja so kwa Kenge siyo gap kubwa tujiandae.Msikilizeni huyu, kuna waliofungwa na wapo juu yako.
Kama mshabiki wa arsenal unafikiri nani wa kuifunga City hii?maana arsenal isiyofungika wanacheza kumi kwenye goli lao dhidi ya city wakizuia.Watu wanajiuliza ni kivipi utaifunga Arsenal hii? hii ndio sababu ya sisi kuchukua ubingwa msimu huu. Refa akikusaidia utapata draw, usiposaidiwa tunapiga kwenye mshono.
Hapana hawezi kucheza kwenye Carabao.
raya mgonjwa?Hapana hawezi kucheza kwenye Carabao.
Raya mgonjwa.
Kipa namba 3 mgonjwa.
So anaweza anzishwa kipa wa youngsters