Leo aseno anaondoka na point hapaHii game Arsewowo mkishinda inabidi timu nyingine zijifunze kutoka kwenu jinsi ya kucheza na wachezaji pungufu
Leo aseno anaondoka na point hapaHii game Arsewowo mkishinda inabidi timu nyingine zijifunze kutoka kwenu jinsi ya kucheza na wachezaji pungufu
Hivi unajua kama ni majeruhi huyo mtu hata benchi hayupo? Ndiyo maana bets zako unaliwaKDB anahitajika kuingia.
Kama Brighton alipata goli sion city akishindwaDuuuh mbona msako umekuwa mkali sana tutapona kweli.
Mbona timu kibao zimeshashinda na wachezaji pungufuHii game Arsewowo mkishinda inabidi timu nyingine zijifunze kutoka kwenu jinsi ya kucheza na wachezaji pungufu
Oya we Kenge Mimi sio Kama wewe Mzee multiple ID huo ni udhaifu mkubwa , Mimi ni Adriz The GunMan sina haja ya kujificha vichaka vingi Mimi iwe Mbichi au kavu ID moja nasema nao maboya kama wewe.adriz tulia weweee. Unaskia wewe no nyauuuuu.