Hili suala la mchezaji mmoja kuondoka na structure yote ikaharibika ni tatizo nakutokujiamini.
Kuna muda aliumia pattey tukakosa ubingwa.leo ode hayupo ile fluidity ina colapse.inapaswa tujifunze kutumia resource zilizopo kucheza kwa DNA yetu au kucheza kwa rhythm tulioizoea.
Kuna mech zinabadilika kulingana na mpinzani na tactical aproach unayoenda nayo ila mwisho mpira lazima uchezwe na matokeo yapatikane.hapa ndo city anapotuachia.
Either academy watupe watu au january turudi sokoni haswa