Arteta hana imani na academy players au shida iko wapi?
Mara nyingi timu ikiwa inaperform, midtable au ikiwa inaelekea kuzama ndiyo hujaribu wachezaji wa academy. Hapa nakupa mfano wa City, Liver, United na Midtable teams.
Hata Saka alipata game time baada ya timu yetu kua choka mbaya pia Emery ni mzuri kulea vipaji. Tangu Arteta amekuja hua anajumuisha academy kwenye kikosi ila hajawahi kuwatumia (kama amewahi mnaweza kunisahihisha)
Hii imesababisha wachezaji ambao tuliwahi hisi ni potential kuondoka. Mfano Miguel Aziz, Patino, Nelson katoka kwa mkopo, Emile tumemuuza. Na wengine hawajawahi kucheza mfano Salah, na sasa tuna Skelly.
Ni mid mzuri, Merino injured, Rice nje, Partey na Jorginho wapo ila hapa mmoja hana defense nzuri kabisa. Nyumbu wakiwa desperate wamechezesha sana youngsters Elanga, Greenwood na sasa Garnacho na Kobi.
Now Kobi bado hana ukali huo ni kwavile nyumbu wapo matopeni, huyu Skelly anashindwa kufanya anachotakiwa kufanya mid?
Ama Arteta ana shida au academy ina shida haizalishi wachezaji quality