Yan hapo wa kuziba weaknes Yao Ni Timber tu Daaaahh kaz tunayo..I actually thought tunahitaji kucheza 3 4 3 ili kujaribu kuziba weakness ya mid ambayo kwa sasa itaonekana kwakua Jorginho na Partey ni risk kuwaweka wote wawili.
Bench letu pia siyo zuri kabisaYan hapo wa kuziba weaknes Yao Ni Timber tu Daaaahh kaz tunayo..
Hapo sub naziona. Ni trossard anaingia jesus... martinel ataingia sterllingBench letu pia siyo zuri kabisa
Acha kututisha weweeee!!!Kocha wa Totte yupo kimya na timu inaupiga mwingi hivi, je akianza kubwabwaja kama Arteta si itakuwa balaa.
Sio lazima kila kocha awe na tabia sawa na mwingine jombaa.Kocha wa Totte yupo kimya na timu inaupiga mwingi hivi, je akianza kubwabwaja kama Arteta si itakuwa balaa.