Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,796
- 4,297
Kabeba kombe gani ?Kwhyo Arteta hajabeba kombe lolote tangu aje Arsenal sio🤠🤠🤠🤠...
Kabeba kombe gani ?Kwhyo Arteta hajabeba kombe lolote tangu aje Arsenal sio🤠🤠🤠🤠...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu Bagabeach kwanza mtake radhi Claudio Ranieri kwa kumfananisha na vitu vya kijinga kijinga, ni dharau kubwa sana kumfananisha kocha mwenye kombe la Epl na kocha ambae mafanikio yake makubwa ni ngao ya jamii.Mashabiki wa arsenal sio binadamu kama sisi.
Arteta sio kocha wazee, na hapo kafika peak yake km ile ya Raniel wa Leicester 2016, so msimu ujao anaanza kuporomoka.
Hata solkjaer second position alishika.
Chelsea na man u watarud na wachukue makombe kabla yenu, amini, nawaambia
Anzeni na kocha, na midfield ya odegard sio ya kukupa ubingwa.
Nyie laana mna noma.
Odergard ni bora kuliko de brune, hii ni moja kati ya laana mlizojitakia, au ile laana ya kuidharau uefa wakati mna miaka 100+ hamuijui.
DOMO FC
Kabeba kombe gani ?
Kweli, arteta bado sana, anawadaganya arsenyo kwa aerial dual won, na inverted midfield[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu Bagabeach kwanza mtake radhi Claudio Ranieri kwa kumfananisha na vitu vya kijinga kijinga, ni dharau kubwa sana kumfananisha kocha mwenye kombe la Epl na kocha ambae mafanikio yake makubwa ni ngao ya jamii.
Hawa pimbi ndio walikuwa wanasema "tuletee madiridi " ,sisi ni mabingwa wa UEFa msimu huu ,Mashabiki wa arsenal sio binadamu kama sisi.
Arteta sio kocha wazee, na hapo kafika peak yake km ile ya Raniel wa Leicester 2016, so msimu ujao anaanza kuporomoka.
Hata solkjaer second position alishika.
Chelsea na man u watarud na wachukue makombe kabla yenu, amini, nawaambia
Anzeni na kocha, na midfield ya odegard sio ya kukupa ubingwa.
Nyie laana mna noma.
Odergard ni bora kuliko de brune, hii ni moja kati ya laana mlizojitakia, au ile laana ya kuidharau uefa wakati mna miaka 100+ hamuijui.
DOMO FC
Hao arsenyo fans sio binadamu kama sisi. Me nawaona kama viumbe fulanj tofauti na sisi binadamHawa pimbi ndio walikuwa wanasema "tuletee madiridi " ,sisi ni mabingwa wa UEFa msimu huu ,
Yakaja kutolewa na Bayern mbovu kabisa ile.
Sijui yangekutana na moto wa vile vitoto vya Bernabeu yangefedheheshwa kiaina gani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Maanina
Anapangwa TAA ambae ni beki.Huu ufala, ndio maana white alimzingua Southgate
Cole Palmer scored or assisted 42 goals this season, more than any other midfielder in Europe's Top 5 Leagues.
ZERO minutes at Euro 2024 so far.View attachment 3021977
Mbona hata nyie mlikua mnatamba kombe lenu, tena mkasema mtamaliza ligi bila kufungwa. Mkasema FA, Carbao UEFA mtabeba yotee, kilichotokea sasa!!! hahahaha..... Aliewajaza huo ujinga mpk sasa hajulikani alipo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu Bagabeach kwanza mtake radhi Claudio Ranieri kwa kumfananisha na vitu vya kijinga kijinga, ni dharau kubwa sana kumfananisha kocha mwenye kombe la Epl na kocha ambae mafanikio yake makubwa ni ngao ya jamii.
Mashabiki wa Man Utd hua hatuchezi mbali na fursa.REJECT ARSENAL FC
View attachment 3025960
🤣🤣Mashabiki wa Man Utd hua hatuchezi mbali na fursa.
Huyu mwana katuwakilisha vyema kabisa ndani ya ukumbi wa bunge la jamhuri ya Kenya.
View attachment 3026613
Nyumbu anawaza chakula tu hapo. Anatia aibu brandMashabiki wa Man Utd hua hatuchezi mbali na fursa.
Huyu mwana katuwakilisha vyema kabisa ndani ya ukumbi wa bunge la jamhuri ya Kenya.
View attachment 3026613
Mambo ya kimbinu haya, kichwa mchunga huwezi yaelewa.Umesahau Bernado Silva alizima namba 3 dhidi ya Arsenal misimu miwili nyuma?Cole Palmer alimpeleka kenge Saka kucheza beki sababu Saka kama forwad ni mzigo