Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,243
- 76,792
Sterling ni back up ya Saka. Sterling kaanza mpira kama RW ametumika hivyo Liva kabla ya kwenda City na huko alianzia RW kabla ya kwenda LW.
Wakati tunahusishwa naye kabla Boehly hajamchukua na kwenda Chelsea nikasema Boehly amejaza wachezaji wengi ambao ni wazuri kulisogelea goli lakini siyo kuscore.
Na hapa narudia tena. Sterling ni mzuri kulisogelea goli ila siyo kuscore, angekua lethal kama akifika golini anatafuta wa kumpa pasi na siyo kutaka kudive. Ripoti niliyoiona ilisema Kenge wameleta mchezaji na kupropose watacover sehemu ya salary I think siyo deal mbaya kwa mchezaji anayejijua kua yeye ni rotational.
Kama unahisi Sterling mbaya tafuta msimu ambao Chiesa amewahi kufunga magoli 10 kwenda juu zaidi ya aliokua Fiorentina.