Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,530
- 18,725
Mkuu Wapi huko?
Mmeshapigwa hukoo🤣🤣🤣Hii ngoma siielewi.. Na game za mapema ni gundu kweli kweli.
Babu unawashwa na nini MzeeMmeshapigwa hukoo🤣🤣🤣
Unajambajamba nini sasa🤣🤣🤣🤣Babu unawashwa na nini Mzee
tulia kiongozi, tutakupa hitaji lakoOya wazee tumeweka pesa zetu kwenu mjue.