kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Unavyofikiri Hao wachezaji wote uliowataja Ni wa kiwango kikubwa sana basi. Kama huyo Osihmen Ni mchezaji wa kawaida sana. Wote uliowataja Ni washambuliaji wazuri lakini hawakupi uhakika Kama Wata perform kwenye mfumo wako Au Vipi. Wee nitajie kati ya Hao uliowataja umewajulia wapi kwingine kabla ya hizo timu zao Za sasa hiviHakuna anayefata mkumbo mkuu. Ni kawaida mashabiki kufanana mawazo, na hili linajulikana.
Unaulizaje angesajiliwa nani katika soko ambalo kuna Osimnhem, Gyokeres, Sesko, Furgeson
Kuna ubavu kama wa Williams na Rafael Leao, af timu inabaki na maombi ya kiwango cha Martinelli cha 22/23 kufufuka, wakati huo mpinzani wako anavuta