Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Screenshot_2024-08-30-20-57-43-577_com.twitter.android-edit.jpg
 
Anaandika mdau:

Manchester City won the league back to back - Signs Haaland

Real Madrid won a league and UCL double - Signs Mbappe

Arsenal with zero league titles in 20yrs trying to overtake Man City - ??????????????????????

Ndo maana akina Flano wanatuona ni jukwaa la vichekesho
 
Kwani mashabiki wa Arsenal wao wanategemea kikombe chochote? Ni mashindano gani wanaweza kushindana mpaka wachukue ubingwa? Wenda ubingwa wa siku moja kama Ngao ya Hisani siyo hizi za mbio ndefu...
 
Anaandika mdau:

Manchester City won the league back to back - Signs Haaland

Real Madrid won a league and UCL double - Signs Mbappe

Arsenal with zero league titles in 20yrs trying to overtake Man City - ??????????????????????

Ndo maana akina Flano wanatuona ni jukwaa la vichekesho
hatuko serious kabisaa hata toney tumemshindwa.....
 
usajili wa sterling kama ukikamilika.. naona ataenda kutumika zaidi eneo analocheza kai kwa sasa.
 
Anaandika mdau:

Manchester City won the league back to back - Signs Haaland

Real Madrid won a league and UCL double - Signs Mbappe

Arsenal with zero league titles in 20yrs trying to overtake Man City - ??????????????????????

Ndo maana akina Flano wanatuona ni jukwaa la vichekesho
Tofauti ya points za bingwa na arsenal msimu uliopita ni ngapi?
 
Raheem Sterling akiwasili katika uwanja wa mazoezi wa London Colney kufanyiwa vipimo vya afya kabla ya kuhamishwa kutoka Chelsea kwenda Arsenal. wawakilishi wa mchezaji wanaofanya kazi ya kukamilisha mkopo wa msimu mzima kwa winga wa kimataifa wa Uingereza kwa miaka 29.
@TheAthleticFC
1725055246799.png
 
Nakuhakikishia siku tukikutana na ninyi , huu uzi wenu mtaukimbia , tutawabonda kwa hasira na malipizi ya visasi makubwa .
Kile kipigo cha mbwa koko alichopata wolves kitawakumba na ninyi , kiufupi round hii hamtoki salama mkikutana na Chelsea
Hapo Darajani Salenda huwa mnavuta bangi?
 
Back
Top Bottom