Kuna muda unapaswa kutazama usajili sio kwa sura ya usajili tu bali kwa aspect nyingine.mfano.
Tunahitaji winger,hasa winga ya kulia na hata kushoto pia.
Kulia una saka,una fabio japo ni kama RCM
saka ni early 20
Fabio ni early 20
Ethani ni early 20
Ukisajili mchezaji yeyote hapo awe ni potential au complete maana yake ujiandae kumpoteza fabio au ethan japo hawa wote wanaweza cheza RCM ikilazimu.
Hiki ndo kimefanya CHIDO OBI pamoja na factor ya mshahara kutukimbia.
Kila winger anayetaka kuja arsenal lazima ajiulize maswali kwa SAKA na MARTINELL
Rambo katuacha sababu ya RAYA sio kama haipendi timu
Palmer ndo maana aliondoka man city
Alvarez ndo sababu ya kuondoka CITY
Its too hard to keep two world class player of the same position at same club.
Pep alitaman kubaki na zinchenko,palmer na hata alvarez ila sasa huwez kuwa nao wote kwa ubora wao.
Ndo maana unona anawaza kumleta kingsley au raheem kwasababu hawa ni kama they have nothing to prove.ukimpanga poa na usipompanga poa pia.
Ushawahi kujiuliza academy player anayecheza nafasi ya watu kama saliba,white,saka,ode,rice anajisikiaje anapoona viwango na umri wa hao wachezaji wakati na yeye yuko online.
Trossard tu ameshaanza kumpa shida arteta vip akija mwingine?
Ndo maana sikuhangaika kufuatilia tetesi za douglas luiz,fofana na wengine katika nafasi ya DM baada ya kujua jojinho na partey hawaondoki
Ukocha kazi kweli,you balance squad and you balance fans expectations