arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,357
- 4,402
Mnashika nafasi ya ngapi mkuuGENGE LA MATUMAINI HEWA:
Hapa ndipo kisima cha false hopes karibuni wote .
Kuna jamaa hapo juu anakuambia martineli amekaa pembeni ya merino kutengeneza bond yaani gabi atafufuka na kutikisa😂😂😂. Hii false hope tamu kweli kuisikia inabidi mkorea tukupe u chairman sasa wa false hope rasmi.Nashika