Kaka mchezaji kasema anaitaka Arsenal.
Sociedad wako tayari kumuuza.
Changamoto ikawa structure ya malipo.
Kila upande unataka uvutie kwake.
Kama wewe unikopeshe laki nakuambia nitakupa laki na ishirini ila kwa miaka 7.
Wewe useme hapana, mimi nataka miaka 4 hapo ndiyo ilikua changamoto.
Chelsea kamtaka Osimhen kaambiwa atoe 120M timu ya Saudi imeambiwa itoe 65M. Why? Timu ya Saudi inamwaga mpunga wote kwa mara moja.
Unaisifia Liverpool lakini ni wao wameshindwa kumaliza deal la Zubimendi. Na sasa hivi wanamtaka Chiesa.
Kwenye usajili ni changamoto. Mchezaji anawataka ila timu inafocus na maslahi yake.