Rosicky
JF-Expert Member
- Sep 21, 2015
- 1,204
- 2,070
kiufupi swala la arsenal kusajili dawa yake bado hatujaipata tuna action za kitoto mnoooJapo dirisha la usajili halijaisha (
5 days remains),lakini binafsi ninasikitishwa sana na mwenendo wa usajili wa timu yetu.Katika dirisha ambalo nilijua tutamalizana na usajili mapema sana ni dirisha hili.
Na miongoni mwa nafasi ambazo mtu/watu walikuwa wawe washaletwa mapema ni winger na/au striker wa kuamua matokeo muda wowote ule.
Nico Williams na Osimnhem/Gyokeres muda huu walitakiwa wawe tayari ndani ya uzi mwekundu.
Kama alivyosema mdau mmoja juu huko, timu tunayo, ila na wengine timu wanazo pia. Je tupo kamili ku compete nao?
cheki dili la merino limechukua karne kumalizika
tangia msimu hujaanza it was clear tunahitaji back up ya saka na striker mpaka leo mzeee!!!!!
checki quickness ya man city or bayern or madrid or chelsea kwenye usajili they are so fast kwenye recruitment
Trust me bro deal la merino lingekuwa man city or liverpool lingekuwa limeisha hata kabla hajaenda euro