Brave_Idiot
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 227
- 393
Hii thread ina 8million views 😱, kwani jamii forums ina user wangap? 🤣
Mbona nimeona kama mtu kainama halafu akasikwa tako![]()


kile sio kitendo cha uanamichezo na kinapaswa kukemewa, ni Jesus alikua ameinama style kama ya chuma mboga akipoteza muda, ndio yule mpemba akamtia kidole kwa makusudi kabisa.Huyu ni kiazi, huwezi cheza ukategemea namba 9 mbovu kama huyu, hilo goli lenyewe ni la kichwa cha papatu papatu.Havertz 4 chances one goals
Umeiweka ili iweje man??Mbaya hii
Watu wako very obsessed na hayo mamboUmeiweka ili iweje man??
🤣🤣🤣Hamna timu humu
Yule beki sisi tunaenda kumsemea kwa The butcher Lisandro Martinez atulipizie....vijana wa South America wahuni na washenzi sana🤠ðŸ¤kile sio kitendo cha uanamichezo na kinapaswa kukemewa, ni Jesus alikua ameinama style kama ya chuma mboga akipoteza muda, ndio yule mpemba akamtia kidole kwa makusudi kabisa.
Mbaya zaidi alietiwa kidole ndio kapewa kadi ya njano baada ya kukasirika na kumsukuma yule mpemba.
Hapa wazungu wanatufundisha ushoga hauna shida, ila kuonyesha hasira kwa kitendo unatakacho fanyiwa na basha ni kosa.
Hii iwe referenceWale pundamilia mpaka kesho watakua nafasi ya 7