Siku ukimuona mchambuzi nguli jf, fahamu kabisa jukwaa lenu atalimiriki mwezi mzima[emoji1][emoji1]msimu huu mtatuchangia sana point pale EPL.
Naona ndugu yako hamiss bado hataki kutuacha mpaka kule X iwezi pita siku hajatusema.
Wanazingua sana, yaani wamesubiri mpaka siku ligi inakaribia kuanza ndio wanatuletea huu ufwala wao, yaani kwa hii alosto ya Epl tuliyonayo halafu wanatuletea maringo.
Hebu fatilia kama kuna uwezekano wa kupata App nyingine ya kuangalia mpira ukiipata usisaha kunijulyaccin
Mkuu ukiapdate vaccine app inabidi pia update Ile backup app yake ili iweze kuplay. Mimi jana nimefanya hivyo na nikacheki boli fresh tu[emoji17][emoji17][emoji17] Wakuu msaada unahitajika, misimu yote hua naangalia ligi zote kwa Bein Tv Channels kupitia Yacineapp.
Leo Yacineapp imegoma kufunguka inataka nidownload upya, nikienda kwenye option ya kudownload na kuinstall setting zote ila nikifungua app bado wananiletea ujumbe wa kudownload. View attachment 3066095
Shukran Mkuu, imenibidi ni uninstall kwanza then nimeinstall upya ndio imekubali.Mkuu ukiapdate vaccine app inabidi pia update Ile backup app yake ili iweze kuplay. Mimi jana nimefanya hivyo na nikacheki boli fresh tu
Hizi kondoo hazijiamini.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hongereni mabingwa, kumbe jana mmebaba kombe halafu hata hamsemi[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 3067798
Tupo mzee, tunamalizia kuweka sawa deal la Mikel Merino, then tukambebe Gyokeres kule Ureno. Af turudi kuja kuonyeshana makaliWanangu wa arsenal
Msimu huu tumedhamiria kutoa funzo na onyoWatoto wa darajani huwa mnasumbua sana kwa maneno.
Kusanyeni tena rundo la wacheza reggae,baadae muanze kumlaumu kocha.
Kama hatutofanya usajili kwenye hayo maeneo sitegemi chochote msimu huu.Iko wazi anahitajika ST na RW.
Ila dah 😅